Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji...
15 Reactions
35 Replies
659 Views
Siongezi neno shuka utizame
2 Reactions
19 Replies
202 Views
Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya...
5 Reactions
30 Replies
586 Views
Huu ni ushuhuda wa kweli. Kuna mwanaume amepata ushindi mahakamani dhidi ya gumegume, ambao inabidi tushirikishane hapa ili wanaume msiogope kuwafukuza wajasiriaNDOA a.k.a "makupe"au magumegume...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
The Satanic and Talmudic nature of Benjamin Netanyahu’s ideology Israel is effectively under the sway of Satanic forces, and Benjamin Netanyahu seems to have imbibed a Satanic ideology through the...
1 Reactions
12 Replies
124 Views
Yule "Bwana" aliyetamba Jamiiforums miaka ya 2018 amekuja kivingine katika mtandao wa "Twirraaah". Baada ya Kamati ya Roho mbaya ya Jamiiforums kumnyuka makombora na kumsimanga, akaamua atimkie...
4 Reactions
15 Replies
244 Views
Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote. Bajeti ya sista kwa picha...
6 Reactions
11 Replies
168 Views
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao. Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
17 Reactions
26 Replies
396 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa...
253 Reactions
3K Replies
223K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,719
Posts
49,753,955
Back
Top Bottom