NI ukweli husiopingika kwamba kila mtu anatamani maendeleo na ukweli huo hauwezi kubadilika.
Shida inayoniumiza kichwa changu Kwa sasa NI Kwa nini waafrika tunapenda short cut, hatupendi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka,Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021, kongole Mama yetu tunakupenda sana yani...
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa Tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
Moja kati ya makocha ambao nimekuwa nikitazama mechi zao kadhaa za nyuma basi ni huyu kocha Zidane ila kitu nlichogundua ni kwamba huyu jamaa ni kocha wa kawaida mno kimbinu, aliweza kuchukua...
Jakaya Kikwete alitumia miauniza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktri kiasi ambacho watu walikuwa wanapa giwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa flani...
Angalau awe amemaliza SEAP Programme in Road Construction
Experience: At least 3 Years in Road Construction
Age: 18-30 yrs
Tuma CV na Barua ya Maombi kupitia email: pinnan32@gmail.com
Mwisho wa...
Kila siku tunalia kuhusu kuadikika Kwa Dola licha ya juhudi za kukuza Uchumi lakini hakuna ambae anajadili jambo Hilo Kwa kuangalia sababu za msingi.
Mojawapo ya vitu vinavyosababisha kuadikika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.