Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena...
Yule "Bwana" aliyetamba Jamiiforums miaka ya 2018 amekuja kivingine katika mtandao wa "Twirraaah".
Baada ya Kamati ya Roho mbaya ya Jamiiforums kumnyuka makombora na kumsimanga, akaamua atimkie...
Kuna kundi la vijana mchanganyiko wa Arusha ambao hawana kazi rasmi, wengi miongoni mwao wakijihusisha na ulevi uliopindukia, uvutaji wa bangi, matumizi ya unga, uporaji, ukabaji, ubakaji na...
Saido tangu ajiunge simba akitokea Geita amekuwa na mchango mkubwa sana, ndiye mchezaji pekee ambaye kila msimu katika idadi ya wafungaji mabao hakosi tatu bora, ndiye mchezaji anayejua kupiga...
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa mikakati kwa kila mwalimu wa shule ya sekondari kuvaa sare ya suti kwa ajili ya matukio mbalimbali.
Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.