Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
wakuu ukweli tu usemwe huu uzungu sijui niuite uwhiteblack,,, sikuizi umetimba sana mjini hapa wenzetu wana miili iko simple lakin uku bongo kitu kiki trend wao wanazidisha sasa.. ifije mahala...
Kuna wakati Uganda walimchukua Prof Lipumba akawasaidie kuimarisha uchumi wako, then wakamchukua Balthazar Mwenda kwenda kuimarisha Mifumo yao ya Kodi
Wakati Ule Tanzania ilisheheni wasomi wa...
Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
Certainly, I am truly concerned about how alcohol is being sold in our country. Children under the age of 18 can easily access alcohol, leading to problems and bad drinking habits at such a young...
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.