Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama Kuna illegal issue yoyote nipo tayar kwa lolote, nipo tayar ku take risk kwa ajiri ya maisha yangu na familia yangu, najua mnaweza shidwa kunielewa. Yes nataman kukata mizizi hii ya mateso...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
19 Reactions
608 Replies
16K Views
Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi...
7 Reactions
38 Replies
717 Views
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha. Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
1 Reactions
17 Replies
898 Views
Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
5 Reactions
47 Replies
715 Views
Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
15 Reactions
147 Replies
2K Views
Wakuu nauliza hivo na sababu!! Homa ya uti wa mgongo au meningitis
3 Reactions
15 Replies
151 Views
Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka...
1 Reactions
10 Replies
55 Views
Ninaonesha dalili zifutazo 1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto 2. Maumivu ya mgongo 3. Maumivu ya kichwa 4. Kuhisi kama unachanganyikiwa Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
2 Reactions
14 Replies
134 Views
Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
9 Reactions
85 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,275
Posts
49,657,092
Back
Top Bottom