Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa. Spain 🇪🇸 💪🏽 Norway 🇳🇴 💪🏽 Ireland 🇮🇪 💪🏽 Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi...
0 Reactions
5 Replies
73 Views
Kama heading inavyojieleza mpaka muda huu mgombea aliyeshindwa kanda ya nyasa amegoma kusema lolote ,ameahidi kuita press na kuongea yote yaliyojiri kwenye huo uchaguzi kifupi hajaridhirika. Hizi...
3 Reactions
10 Replies
50 Views
Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo. Habari...
10 Reactions
71 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Nipo kwenye kumi la tatu. Lakini Watu wengi wanapokutana na mimi hushindwa kukadiria umri wangu na wengi huniona nina umri mdogo. Yaani huniona kama nipo chuo hivi au nimezaliwa...
0 Reactions
5 Replies
12 Views
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua. Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia Upone...
18 Reactions
226 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu...
1 Reactions
8 Replies
52 Views
Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi...
9 Reactions
270 Replies
12K Views
Ujue siwaelewi. Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake...
3 Reactions
44 Replies
537 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,399
Posts
49,745,243
Back
Top Bottom