Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
16 Reactions
158 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, nsiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda Bei kutoka mia tano hadi mia yaan kimahesabu vocha zimepanda Bei kwa...
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi. Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila...
7 Reactions
48 Replies
858 Views
Habari Ndugu zangu! Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote! Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye...
0 Reactions
8 Replies
57 Views
Wananiita Sugu!!! Nani!! Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule...
6 Reactions
73 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Despite kupewe onyo kali lilitolewa na mahakama ya ICJ siku chache zilizopita, Israel imeendelea kushambulia kambi ya wapalestina Rafah kwa kuilipua na mabomu yenye paundi 2000 zaidi ya mara...
3 Reactions
47 Replies
949 Views
Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl...
4 Reactions
47 Replies
265 Views
Moja kati ya makocha ambao nimekuwa nikitazama mechi zao kadhaa za nyuma basi ni huyu kocha Zidane ila kitu nlichogundua ni kwamba huyu jamaa ni kocha wa kawaida mno kimbinu, aliweza kuchukua...
12 Reactions
58 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,399
Posts
49,745,243
Back
Top Bottom