Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari...
5 Reactions
58 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu iliyosambazwa na Chadema kote Duniani, kwamba Dickson Matata amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama hicho Kanda ya Magharibi Taarifa kamili hii hapa
0 Reactions
5 Replies
73 Views
Moja kati ya makocha ambao nimekuwa nikitazama mechi zao kadhaa za nyuma basi ni huyu kocha Zidane ila kitu nlichogundua ni kwamba huyu jamaa ni kocha wa kawaida mno kimbinu, aliweza kuchukua...
12 Reactions
68 Replies
1K Views
Huyu mtu yupo pale kutumika kisiasa. Amewekwa na wanasiasa na kwa nguvu zao sioni iwapo ataacha madaraka yake. Nikisikiliza jinsi anavyojibu kijeuri, sipati shaka kabisa kuwa Simba kwa sasa...
2 Reactions
9 Replies
265 Views
Bado sijajua kwanini Kanda ya Nyasa inafuatiliwa namna hii, Wakati Kanda zinazofanya uchaguzi ni nyingi tu Bali hali ya Mji wa Makambako ndio kama mnavyoona Kama unataka matokeo ya Uchaguzi...
9 Reactions
58 Replies
847 Views
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia...
4 Reactions
13 Replies
504 Views
Wakuu usiku wa leo umekua mrefu sana kwa upande wangu, kichwa kimewaka moto haswa, nikaona bora nije hapa kwenye familia yangu ya JF walau ni share hili linalonikumba kabla sijachukua maamuzi...
14 Reactions
68 Replies
4K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko...
0 Reactions
11 Replies
142 Views
Habari za muda ndugu zangu, Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye...
2 Reactions
8 Replies
120 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,456
Posts
49,746,681
Back
Top Bottom