Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua.
Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia
Upone...
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi.
Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi...
Leo nimeshuhudia kitendo ambacho hadi sasa nahisi kuchanganyikiwa. Nimepanda mwendokasi natoka Kariakoo kwenda Ubungo kiti chanyuma. Magomeni kaingia mtoto mzuri hatari alafu ana shepu balaa tako...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Mchezaji Bora nategemea atoke miongoni mwa wale wachezaji walioshinda tuzo za Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 wa kila mwezi.
Wachezaji Bora tokea mwezi Agosti 2023 hadi Aprili...
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.