Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke.
Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume.
Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake...
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
Russia decapitated:Russia Early-Warning (Nuclear) Missile Radar ATTACKED
MAY 24, 2024
One of Russia's absolutely key over-the-horizon, nuclear-early-warning radar sites has been hit by drone...
Wakuu habari zenu.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho...
Mambo vipi apo nyuma ya keyboard, ugonile.!!
Kiukweli zama zimebadilika sana
ni ajabu sana wanawake sikuiz ndo wanaitisha mechi kwa kisingizio kuwa mnatest kama yaliyomo yamo kwa wachumba zenu...
Kuna jamaa aliniuliza kuna changamoto gani au kero zinakumbananazo car wash za hapa bongo kwa. Maana yeye alitaka siku moja aanzishe automated car wash.kama hio hapo chini...
I will be short
These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today.
1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame...
Katika maeneo ya CCM hata mpiji mwisho hatuna Maji ya dawasco.
Mwaka jana alikuja Mpiji Magoe mbunge wetu wa Kibamba akatupa taarifa kuwa mradi wa maji unakuja na akajinadi ni jihada zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.