Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Paredi la Yanga halijaistua tu Africa Bali dunia yote imetikisika mitandaoni kote ....ni Yanga tu Vituo vikubwa vya habari vyaliongelea hili tukio la wananchi Hizi ni baadhi Comments za...
9 Reactions
35 Replies
967 Views
Pamoja na Zanzibar kuwa kivutio kupanda boti kwenda Zanzibar ni kama unaelekea porini. Hapo passenger terminal ni uchafu mtupu. Watu wanauza mpaka mayai ya kuchemsha, Karanga mbichi mpaka miguu ya...
0 Reactions
5 Replies
265 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia. Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Msikie mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri. “Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye...
7 Reactions
29 Replies
714 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Hakika nichukue nafasi hii kumpongeza kwa dhati Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa kwa Maamuzi Magumu anayoyachukua katika Wizara yake. Wizara ya Ardhi ni moja ya Wizara zenye WATENDAJI WA OVYO SANA...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii...
3 Reactions
19 Replies
162 Views
Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi...
0 Reactions
9 Replies
152 Views
Habari, Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter, Mwanafunzi wa Mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) nasomea Historia na sayansi ya siasa, namba yangu ya usajili 2021-04-01016 Siku za karibuni...
8 Reactions
38 Replies
607 Views
Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
13 Reactions
163 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,974
Posts
49,734,632
Back
Top Bottom