Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi...
Habari zenu ndugu zangu?
Ninauza TV ya inch 32 Brand Hisense na PS3 moja.
TV ni 220,000 nakupa na Wall Bracket pamoja na HDMI Cable.
Ps3 nakuuzia kwa 280,000 ina magemu 27 mazuri, nakupa na Pad...
Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, ZANZIBAR
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha...
1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3: Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Helikopta iliyombeba rais wa Iran Ebrahim Raisi imepata ajali. Vyombo vya habari vinafuatilia kama alikuwemo kwenye hiyo helikopta.
Helicopter in Iranian president's convoy crashes - state media...
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.