Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii...
3 Reactions
20 Replies
162 Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
7 Reactions
158 Replies
710 Views
Tunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani. Nchi za waarabu wameenda mbali zaidi, hata mishahara ni ngumu sana kufikia mshahara wa mzawa...
10 Reactions
51 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia. Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa...
2 Reactions
2 Replies
3 Views
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
6 Reactions
40 Replies
710 Views
Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo Kwa kweli niko wako Hiyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee ′tapendana kiroho Nakusihi...
2 Reactions
7 Replies
22 Views
Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo. Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
5 Reactions
48 Replies
385 Views
kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na Taifa kwa ujumla. Nawashukuru waTanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Paredi la Yanga halijaistua tu Africa Bali dunia yote imetikisika mitandaoni kote ....ni Yanga tu Vituo vikubwa vya habari vyaliongelea hili tukio la wananchi Hizi ni baadhi Comments za...
9 Reactions
35 Replies
967 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,974
Posts
49,734,632
Back
Top Bottom