Kwema ndugu zangu.
Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mshikaji ana mke wake amezaa nae watoto wawil huyo wa pili ana miezi minne sasa, ila kwa sasa huyo mke yupo anaishi kwa wazazi wake...
Tunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani.
Nchi za waarabu wameenda mbali zaidi, hata mishahara ni ngumu sana kufikia mshahara wa mzawa...
https://www.pc.go.tz/
Shilole ameonekana akitangaza hospitali hiyo hapo kwenye picha na kusisitiza wagonjwa waende na kwamba ni hospitali Bora.
Kimaadili si sawa, ni kama hospitai hiyo inataka...
Huyu hapa Raisi wa Ball Eng. Hers na Azizi ki (the top scorer) wakichezezea mpira na mpira ukiwatii kama wameutengeneza WAO.
NB: Kwa ball Hili la hers Mwakani Kolozidad bila 3.5 bilion hatuwapi Hers
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji...
Ni muhimu sana kua karibu na mwenzi wako mkizungumza na kubadilishana mawazo, kwa karibu sana tena kwa kujiamini sana.
Ni muhimu sana muonekano wenu, uwe wa kupendeza na kuvutia ninyi wenyewe na...
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi...
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.