Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

BREAKING NEWS: Simba SC watashiriki Kombe la Shirikisho Msimu ujao baada ya kushika nafasi ya tatu kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Azam FC na Yanga SC watashiriki Klabu Bingwa Barani...
9 Reactions
47 Replies
606 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
18 Reactions
189 Replies
5K Views
Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Mkapa, timu ya Simba itakuwa dimbani kuwakaribisha JKT Tanzania kwenye mchezo wa kufungia msimu. Mechi hii inategemewa kuwa na ushindani mkali sana...
5 Reactions
137 Replies
4K Views
Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu. Shukrani sana IDF, malizeni hii...
8 Reactions
21 Replies
492 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
48 Reactions
177 Replies
4K Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
11 Reactions
90 Replies
2K Views
Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja "Serikali kupitia Wizara ya Maji imeanzisha madawati ya vituo vya huduma kwa wateja kwa Mamlaka zote...
1 Reactions
1 Replies
24 Views
Huu ni udhalilishaji, na wakili wa TLS ameshirikiana na Makonda kudhalilisha huyu mama. Wanasheria wa Halmashauri hawaendi Mahakamani, kwa mujibu wake, kwa sasa Ofisi ya wakili mkuu iliyopo DSM...
0 Reactions
28 Replies
694 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,974
Posts
49,734,580
Back
Top Bottom