Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Najua ni wazi hujui ni ipi, na inaweza ikatokea umeipiga tu katika mazingira fulani yasiyo na matayarisho yoyote. Lakini niamini ni mojawapo kati ya picha zako ndio itakayotumika kuwekwa juu ya...
15 Reactions
117 Replies
14K Views
Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mshikaji ana mke wake amezaa nae watoto wawil huyo wa pili ana miezi minne sasa, ila kwa sasa huyo mke yupo anaishi kwa wazazi wake...
1 Reactions
4 Replies
83 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
20 Reactions
266 Replies
7K Views
Huu uzi uwe wa kuwaumbua kwa ushahidi usio na mashaka wale wote wanaomtupia mawe Paul Makonda aliyejipambanua kama mtetezi wa wananchi wanyonge na pia kumpa maua yake, hivyo Kama umewahi...
2 Reactions
15 Replies
186 Views
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume, Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
15 Reactions
87 Replies
1K Views
Huyu hapa Raisi wa Ball Eng. Hers na Azizi ki (the top scorer) wakichezezea mpira na mpira ukiwatii kama wameutengeneza WAO. NB: Kwa ball Hili la hers Mwakani Kolozidad bila 3.5 bilion hatuwapi Hers
0 Reactions
1 Replies
2 Views
2024 | NUNUA BIDHAA TOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA MZIGO UTAKUFIKIA MAHALA ULIOPO UTANGULIZI Je, kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na hukupata...
78 Reactions
5K Replies
575K Views
Eti maridhiano. Acheni utapeli. Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa...
0 Reactions
9 Replies
196 Views
Starting from upcoming Msalato International Airport
16 Reactions
1K Replies
94K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,108
Posts
49,738,313
Back
Top Bottom