Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Wakuu,
Kama unashawai kuugua ugonjwa wa meningitis au ndugu yako naomba ushare experience!
Nina hizi dalili sasa kwa muda
1. Kichwa kuwaka moto/kuuma muda wote
2. Joto kali kichwani Fever
3...
Kipindi cha mwaka 2020 kuna Ndugu zangu waliokuwa Canada walikuwa wanaagiza nguo na viatu kupitia DHL Kutoka hapa Bongo na sababu kuu walikuwa wanasma Bidhaa za Za mavazi Canada ni Ghali kupinduka...
Salaam, Shalom!!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi,
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
Dogo namuona ni Hatari sana na ndiyo Animateur ( Rapa / Mghani / Atalaku ) ambaye namuona anakuja kuwa Tishio kwa Atalaku bora kwa sasa Congo DR Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ) na...
Straight forward, serikali Kupitia wizara ya mawasiliano na teknolojia imenunua mdoli wa kikubwa wao wanaitwa roboti.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mdoli na roboti, hili letu ni mdoli kwanza...
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa.
Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko.
"Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi.
Sasa kuna Dada nafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.