Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niaje waungwana? Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza...
32 Reactions
204 Replies
6K Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC 📆 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid 🕖 09:30 Alasiri
1 Reactions
3 Replies
33 Views
Awe na sifa hizi ✓awe mrefu wa wasitani ✓awe mweupe kidogo au maji ya kunde ✓Asiwe na mtoto ✓Elimu kuanzia kidato cha nne ✓kabila lolote isipokuwa muha na mkurya ✓umri miaka 23 Hadi 27 ✓Awe...
0 Reactions
14 Replies
148 Views
Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
2 Reactions
8 Replies
359 Views
Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu Mwanamke asie na utu na shukrani
7 Reactions
43 Replies
373 Views
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja Bunge limepoteza mvuto kabisa Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge Nakumbuka kabla ya bunge Kuwa la chama kimoja Wakati huu wa bunge la bajeti...
8 Reactions
60 Replies
1K Views
Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto...
3 Reactions
19 Replies
178 Views
Ukiwa Kama kijana Una umri kianzia 18 yrs ili usizeeke Mapema na uzeeke ukiwa katika ubora wako tumia hii njia . Waangalie wazee wenye umri mkubwa kuanzia 70 yrs then utazame wanaishije then na...
2 Reactions
12 Replies
223 Views
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona...
8 Reactions
75 Replies
2K Views
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake, lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho...
3 Reactions
32 Replies
567 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,088
Posts
49,650,852
Back
Top Bottom