Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mazito kuhusu Bwawa la Umeme la Nyerere namna lilivyoteketeza Watu huko Rufiji.
Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Mwembeyanga alipohutubia...
Dar es Salaam.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia.
Ni...
Waziri Jerry Silaa ameongea kitu kikubwa sana aliposema Mhalifu mmoja analindwa na Jaji( Mahakama)
Kibiblia Jaji ni Wakili wa Mungu wa mbinguni anayesimamia Haki na siyo vinginevyo
Binafsi huwa...
Bojour wazeeee.......!!!!
Watu wengine makomwe sana.....
Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi...
Hizi e-cigarette wanazipatia wapi zinauzwa wapi mpaka zimeenea namna hii kama tu huku Mtwara nimeona watoto kundi kwenye michezo ya umitashumta wanavuta wanazo mbili je huko dar es salaam si ndo...
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.