Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (1 Wathesalonike 4: 11). 2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17). 3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au...
11 Reactions
14 Replies
43 Views
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London. Benki ya NMB imetanua wigo wa...
31 Reactions
100 Replies
1K Views
Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories. Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na...
5 Reactions
32 Replies
344 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC 📆 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid 🕖 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC
5 Reactions
29 Replies
286 Views
Vyombo kadhaa vya habari vinaripoti sintofahamu huko DRC , vinasema kuwa jaribio la kumpindua rais Felix Tshikedi limeshindwa! DR Congo army says it has thwarted attempted coup The Democratic...
2 Reactions
21 Replies
355 Views
Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
3 Reactions
23 Replies
47 Views
Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili...
3 Reactions
22 Replies
331 Views
CHADEMA NI UNDER DOG WA CCM MIAKA NENDA RUDI….! Hivi karibu tumeona na kushuhudia matendo ya ajabu sana ndani ya Chadema, chama ambacho kilijitanabaisha kama mbadala wa CCM, kwamba kimefikia...
2 Reactions
7 Replies
62 Views
Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku...
12 Reactions
110 Replies
2K Views
Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi...
3 Reactions
29 Replies
321 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,158
Posts
49,652,028
Back
Top Bottom