Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo...... Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini? Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao...
0 Reactions
16 Replies
184 Views
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail? Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana...
6 Reactions
11 Replies
148 Views
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
15 Reactions
101 Replies
2K Views
Watu wengi wanajua tu majina ya nchi bila.kujua historia ya majina hayo kabla na baada ya kubadilishwa. Songa nami. Gold Coast → Ghana 🇬🇭 (1957) Dahomey Republic → Benin Republic 🇧🇯 (1975)...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
1 Reactions
9 Replies
69 Views
Na.Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Saturday 04/05/2024 Mpanda-Katavi Leo nazungumza na wanaotaka kuoa, "Mary who you understand and understand who you marry", ni lazima ujue yupi wa starehe na yupi...
6 Reactions
8 Replies
163 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimefurahi sana Leo baada ya kupima afya Kwa kuzingatia uzito na urefu wangu na kupata matokeo mazuri kiafya Nimeweka matokeo yangu kwa rejea yenu
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili...
0 Reactions
2 Replies
28 Views
Binafsi sijapendezwa na baadhi ya wanajamii forum kubeza mtandao wa TikTok. Mwanzo nilikuwa sio mfuatiliaji wa mtandao huo(TikTok) kwakuwa niliona watu wengi hapa wakisema kuwa hauna maudhi mazuri...
1 Reactions
8 Replies
95 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,123
Posts
49,651,458
Back
Top Bottom