Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

tanzania ina watu wa ajabu sana . Yani ana matatizo kibao anawaza uchawi . List ya matatizo bodi ya ligi 1. Viwanja 2. Majukwaa 3. Wafadhili 4. 4k or hd coverage 5. App 6. Media coverage ya...
0 Reactions
2 Replies
87 Views
Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa...
8 Reactions
45 Replies
566 Views
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
23 Reactions
264 Replies
4K Views
Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na...
0 Reactions
7 Replies
281 Views
Mradi wa SGR Mwanza umesimama baada ya serikali kushindwa kulipa wakandarasi. Mmoja wa vibarua kwenye mradi huo amenambia walitangaziwa na wakandarasi kuwa hakuna pesa hivyo shughuli zinasimama...
0 Reactions
13 Replies
141 Views
Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
0 Reactions
12 Replies
72 Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
215 Reactions
11K Replies
3M Views
Kwenye hili namuunga mikono, tupa nje warudi kwao Uarabuni.... “One thing I do is, any student that protests, I throw them out of the country. You know, there are a lot of foreign students. As...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Good morning to all parents, Straight to the point, wazazi wenzangu nawasihi sana tuwapende sana watoto wetu katika hali yeyote ile. Tukiwa na fedha ama fukara, kitu pekee ambacho mtoto...
4 Reactions
7 Replies
164 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,813
Posts
49,729,615
Back
Top Bottom