Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni...
4 Reactions
49 Replies
488 Views
They say 'life begins at forty!' Sasa kama wewe umeshafikisha miaka 40 au umebakiza siku au miezi kadhaa, hebu tujuzane ni nini umejifunza? Ni mangapi umefanikisha? Changamoto ni zipi za kusaidia...
2 Reactions
10 Replies
53 Views
Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu. Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
4 Reactions
5 Replies
13 Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
8 Reactions
60 Replies
313 Views
Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu Mwanamke asie na utu na shukrani
9 Reactions
65 Replies
789 Views
Mbunge wa Tarime Vijijini akichangia hotuba ya wizara ya Maendeleo ya Jamii amesema kama hao wanatupa Misaada ya Kibajeti wanatuwekea Masharti ya Ushoga basi Misaada yao hatuitaki Mwita Waitara...
2 Reactions
24 Replies
700 Views
Salaam, Shalom!! Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi, Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
11 Reactions
104 Replies
2K Views
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania. Kwa wabongo waliopigika...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko. CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu...
0 Reactions
1 Replies
4 Views
DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati...
0 Reactions
1 Replies
18 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,138
Posts
49,651,722
Back
Top Bottom