Wakuu nina swali??
LEO KATIKA PITA PITA ZANGU
Nimekutana mtandao (Whatsapp status) na dogo mmoja tulikutana ofice moja hapa jijini wakat nasajili campuni yetu.Kwakua yeye alikua very educated...
Salaam, Shalom!
Ziku chache zilizopita, palitokea taarifa njema za uwajibikaji Kwa waziri wa Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuadimika Kwa Pombe visiwani humo...
Vijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae.
Mambo mnne...
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi...
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na...
Is it a coincidence?
Lissu alitoa a "Heil Hiller" salute kwa wananchi na wanachama wake wa CHADEMA.
Ukisoma historia ya Adolf Hitler, unaweza kulinganisha hawa watu wawili.
Je.............?
Asante kwa wale Wakristo wote ambao mmeenda Ibadani ( Kanisani ) na wale ambao sasa mpo Kanisani ( Ibadani ) na wale ambao mnajiandaa kwenda baada. Mbarikiwe sana. Kwa Wakatoliki wenzangu...
Salaam, Shalom!!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi,
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.