Hilo eneo la Gaza ni kubwa kiasi gan kiasi cha wapiganaji wa Hamas kutodhibitiwa? Imeripotiwa kuwa wanaendelea kurusha maroket kuelekea Tel aviv. Je hiyo mifumo ya ulinzi ya Israel inashindwa...
Hii siyo Kawaida ya Chadema Kabisa hasa makamanda wa hapa Jf akuna Erythrocyte
Nilikuwepo mkutanoni na mambo yamezungumzwa mengi sana na Tundu Lisu mwenyewe Pamoja na yule askofu Mwanamapinduzi...
Wadau hamjamboni nyote?
Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi
Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
Kama wapo nisaidieni kuwatag.
Nilikuwa na 250k kwenye account yangu jana saa 9 nikatoa 50k kwa wakala. Leo kuangalia salio nimebakiwa ba 89k.
Nimepiga simu namba yao huduma niliyopata sijalizika...
" Chini ya awamu ya sita kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania tumefanyiwa Credit rating ( solicited ) kama Taifa.
Hata hivyo Tanzania tumefanya vizuri zaidi kuliko nchi zote za...
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
Yatupasa kuamka na kuwa makini na kuona jinsi gani kasi yetu ya kuwa taifa lenye uchumi mkubwa Afrika ya mashariki na kati linatimia, by hooks and crooks!
Katika kushindana na nchi ambayo kila...
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho.
Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.