Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuanzia siku za hivi karibuni tumeshuhudia gharama za kutoa kontena bandarini zimepandishwa mara tatu zaidi kuliko ilivyokuwa awali. Kwamba hapo awali gharama za kusafirisha kontena moja kutoka...
3 Reactions
19 Replies
463 Views
Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ? Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu...
3 Reactions
13 Replies
328 Views
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali...
3 Reactions
3 Replies
4 Views
Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kuondoka ndani ya Klabu ya Manchester City, mwishoni mwa msimu ujao wa 2024/25 mkataba wake utakapomalizika. Guardiola (52) aliyejiunga na Man City Mwak 2016...
1 Reactions
27 Replies
251 Views
Hatari ya Jambo alilolifanya huyu kijana ni kubwa sana, hata kama amelipwa lakini hakuangalia mbele na wala hakujiuliza, kwanini Hadija Kopa au John Komba hawakufanya hivyo. Kusifia ccm au Samia...
4 Reactions
19 Replies
293 Views
Yaani ni kama kumsukuma mlevi tu Funguka....
1 Reactions
32 Replies
151 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia...
10 Reactions
210 Replies
1K Views
Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k Lakini zaidi sana...
3 Reactions
37 Replies
324 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
33 Reactions
164 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,594
Posts
49,722,014
Back
Top Bottom