Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni kawaida kwa taasis za serikali kukuta viongozi wote ni wakristo. Lakini ikitokea viongozi wa wili tu yaani mkuu wa taasiai na msaidizi wake ni waislami kelelwe nchi nzima. Nimemaliza.
4 Reactions
72 Replies
370 Views
Habari wakuu, Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za polisi 09/05/2024 mpaka leo bado sijafanikiwa Ku Signin kwenye huo mfumo. Kila nikijaribu haufunguki, je kuna mtu amefanikiwa kukamilisha maombi...
0 Reactions
6 Replies
145 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo Aidha RC...
19 Reactions
94 Replies
3K Views
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London. Benki ya NMB imetanua wigo wa...
6 Reactions
17 Replies
49 Views
Kipindi cha mwaka 2020 kuna Ndugu zangu waliokuwa Canada walikuwa wanaagiza nguo na viatu kupitia DHL Kutoka hapa Bongo na sababu kuu walikuwa wanasma Bidhaa za Za mavazi Canada ni Ghali kupinduka...
6 Reactions
19 Replies
214 Views
Salaam Mhe. Tundu lissu, Natumaini unaendelea vema. Mhe. Tundu lissu nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania ninayekupenda na kukufatilia sana. Naamin kabisa katika siasa za Tanzania wewe...
19 Reactions
52 Replies
2K Views
MHE. EDWARD LEKAITA, Mbunge wa Jimbo la Kiteto Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bungeni Jijini Dodoma "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kuisaidia...
0 Reactions
4 Replies
74 Views
Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024...
0 Reactions
2 Replies
15 Views
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata. Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje...
10 Reactions
54 Replies
919 Views
Huyu ndio bosi wangu. I have 13 years on duty.ila bosi anakuona just like hell
4 Reactions
27 Replies
433 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,027
Posts
49,648,779
Back
Top Bottom