Kwanza amesema yule mdada alikuwa hasikiki vizuri,wakati yule mdada alikuwa anasikika vizuri.
Kosa la pili,ni kwamba kasema yule mdada siyo mzuri kuliko mke wake. Hilo ni kosa,kwa sababu mwanamke...
Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli
JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako...
Habari za kazi wakuu
Kama kichwa kinavyosema, nisizunguke saana, mimi nimesoma stori nyingi tu za humu hasa zile TRUE STORY za baadhi ya member wenzetu.
Je, kutoka katika stori hizo ulitamani...
Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode. Mchungaji kapiga mashine mpaka mke wa mtu Dora kayode kuzaa...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako!
Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa.
Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu...
Jukwaa la love connect ni jukwaa sensitive sana.
Watu waanze kuingia kwa kuomba kupitia moderators.
Sababu kuu ni kwamba kuna members humu wanafanya jukwaa lisionekane serious kiasi kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.