Anaitwa Dharmendra Mzimba.
Huyu lazima kazaliwa miaka ya 90 mwanzoni na baba ake alikuwa ana angalia sana picha za kihindi.
Kanikumbusha Niliwahi kusoma na jamaa yeye baba ake alikuwa anawaita...
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kichwa cha thread kinajieleza
Ninawatakieni nyote Heri ya Sikukuu ya Pentekoste
Ukaja Upepo kutoka Juu Mbinguni na Wote wakajazwa na Roho Mtakafu, haleluya!
Tundu Antipas Lisu anaonekana...
Kipindi cha mwaka 2020 kuna Ndugu zangu waliokuwa Canada walikuwa wanaagiza nguo na viatu kupitia DHL Kutoka hapa Bongo na sababu kuu walikuwa wanasma Bidhaa za Za mavazi Canada ni Ghali kupinduka...
NYUMBA BINAFSI INAUZWA KIBAHA MSUFINI.......
Ina Vyumba vitatu kimoja ni self Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Miliki ya wizara(Title Deed)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 534
Nyumba Iko...
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga,Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.