Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Natumaini ni wazima ndugu zangu Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako. Hadi sasa...
14 Reactions
44 Replies
281 Views
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
3 Reactions
29 Replies
286 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mazito kuhusu Bwawa la Umeme la Nyerere namna lilivyoteketeza Watu huko Rufiji. Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Mwembeyanga alipohutubia...
12 Reactions
90 Replies
2K Views
Jukwaa la love connect ni jukwaa sensitive sana. Watu waanze kuingia kwa kuomba kupitia moderators. Sababu kuu ni kwamba kuna members humu wanafanya jukwaa lisionekane serious kiasi kwamba...
2 Reactions
23 Replies
118 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao. --- Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
27 Reactions
278 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
10 Reactions
68 Replies
982 Views
Wakuu nipo serious kama unatafuta mume either uolewe au tuishi kama wapenzi ni pm huenda tukaendana umri wangu 30's huyu nilokuwa nae kishanuka sitaki kusema kwanini kimenuka karibu NB, hii ni...
2 Reactions
76 Replies
522 Views
Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28. Msaada tafadhali.
2 Reactions
27 Replies
271 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,726
Posts
49,726,691
Back
Top Bottom