Mwanariadha Alphonce Felix Simbu Ashinda Mbio za "Africa Day Marathon 2024" kilomita 15 kwa muda wa 42:56:50, huku nafasi ya pili akichukua John Nahhay Wele Muda 43:11:50 na nafasi ya tatu...
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.
Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa...
Mimi ni nina maswali kadhaa kuhusu hizi imani zetu hizi, naomba kwa wenye uelewa wanijibu 🙂,
1.Tunaamini Mungu anajua kila kitu , mambo yaliopita, ya sasa, na yajayo sio?, ok ivi ni kwanini wakati...
"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.