Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Oleksandr Usyk anakua UNDISPUTED CHAMPION wa kwanza wa Heavyweight (Boxing) kwenye 4 belt Era, mara ya mwisho Undisputed Champion kwenye division hii alikuwa Lennox Lewis mwaka 1999 wakati wa...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Wakuu nataka kuanza kupika mwenyewe sasa nikiangalia sina kitu hata kimoja jikoni.
Nataka niwe na jiko la kawaida tu.
Naombeni wenye majiko mnipe essentials zote na gharama zake roughly..
Shalom,
Huu sijui niite ni dharau, maringo, ubaharia au ujinga wa kitoto.
Ubaharia wa kidwanzi ndio huu kuna siku nikichukua namba ya demu mmoja hapa jijini Dodoma, nikambeep Fair kabisa.
Kesho...
Habarini wanajamvi mnaendeleaje?
Kila mtu katika maisha yake ana ile "circle" ya marafiki, ndugu na jamaa ambao ana ukaribu nao. Unaweza kuwa ukaribu katika vitu mbali mbali.
Hivi kwa mfano sasa...
Tutazuia hadi lini?
Ni makala fupi kwa njia ya video kama inavyoletwa kwako na Mwandishi na Mwahabari nguli Ansbert Ngurumo aishiye uhamishoni Uingereza..
Ni kuhusu muungano wa Tanganyika na...
Ndugu zangu Watanzania,
Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.