Nyota wa muziki Nicki Minaj amekamatwa kwenye uwanja wa ndege nchini Uholanzi saa chache kabla ya kutumbuiza katika ukumbi wa Co-op Live jijini Manchester.
Rapa huyo wa Marekani, 41, alizuiliwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City...
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana.
Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga?
Ulitaka kuonekana tofauti...
Hili daraja linapatikana mkoa wa Ruvuma Manispaa ya Songea linatenganisha kata ya msamala na mshangano.Bampa za pembeni zimekatwa kila uapande mita kama 15 Tazama picha.Pia hapa daraja hili...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Haya ni miongoni mwa "mauozo" machache:
1. Kiwanja kimoja kumilikishwa kwa watu zaidi ya mmoja
2. Wamiliki halali wa rdhi kupokonywa maeneo yao kinyemela
3. Shamba au kiwanja kimoja kuuzwa kwa...
Habari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji...
Habari WanaJF,
Natafuta kazi ya udereva boda boda ,uvuvi na yeyote ile kikubwa inipatie kipato cha kujikimu, umri wangu ni 24 naishi hapa Dar pia Nina ELIMU ya chuo kikuu upande wa education in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.