Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
10 Reactions
59 Replies
728 Views
i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI vichwa maji this i know...
2 Reactions
10 Replies
147 Views
Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili...
29 Reactions
87 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Israel imemuua Kiongozi Mkuu wa kundi la kigaidi la Islamic Jihad Katika operesheni ya kijeshi huko Rafah Kiongozi huyo mkubwa wa magaidi anaenda kwa jina la Islam...
0 Reactions
7 Replies
116 Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
7 Reactions
294 Replies
5K Views
Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana...
14 Reactions
132 Replies
2K Views
1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki: 2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko. 3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa...
3 Reactions
32 Replies
664 Views
Si tumecheka na tukapika yule kuku ambaye nimekuja nae,🤣😂😂 maisha ni kujuana bana
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi. Maria mamake ni...
1 Reactions
50 Replies
1K Views
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
8 Reactions
79 Replies
718 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,897
Posts
49,644,078
Back
Top Bottom