Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Alipenda sana kutukana watu hadharani. Aliwahi kumrushia maneno makali na machafu mama huyu aliyelelewa kwa maadili ya kidini . Hakuyapenda na yalimkerehesha sana. Akasusa. Kazi kubwa sana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
uhuni, ubabe, bangi na ujeuri ni vitu vinvyokuwa glorified sana Arusha. Uhai wa mtu ni very cheap sana huko Arusha. Kwa sisi tuliosoma miaka hiyo maeneo ya kanda ya kaskazini tunaelewa jinsi...
0 Reactions
7 Replies
154 Views
Nimeona nitoe tahadhari, Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti. Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya...
8 Reactions
41 Replies
591 Views
Habari wana Jf nisiwachoshe tuende moja kwa moja kwenye uzi. katika mitaa yetu tunayoishi kumekua na tetesi nyingi zinazosambaa zikihusisha na kuelezea maisha ya jeshini(JKT) na kuonekana ni...
5 Reactions
87 Replies
1K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
134K Views
Mungai Tajiri ambaye ni Mfanyabiashara mwenye Mafanikio Makubwa Wilaya Mafinga,Tanzania na Kimataifa, amechaguliwa tena kuongoza Chadema Mkoa wa Iringa. Huyu Jamaa ndio alishirikiana na Mchungaji...
13 Reactions
25 Replies
594 Views
Undani wa sakata la wanafunzi wa sekondari kongwe ya wazazi ya Sangu jijini Mbeya waliogoma kuendelea na mitihani ya kumalizia muhula wakipinga kuhamishwa kwa mkuu wa shule hiyo, Jacob Msigwa...
3 Reactions
21 Replies
227 Views
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni...
8 Reactions
120 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,766
Posts
49,698,692
Back
Top Bottom