Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii nyimbo maanaake ni nini?🙊 Sielewi kingereza
0 Reactions
7 Replies
196 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
133K Views
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za...
17 Reactions
81 Replies
1K Views
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara. Hii ni kwa sababu...
12 Reactions
57 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu...
2 Reactions
10 Replies
132 Views
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
20 Reactions
110 Replies
3K Views
Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye...
3 Reactions
16 Replies
671 Views
Hatimaye Ebrahim Raisi aliyekuwa Rais wa Iran amezikwa nyumbani kwao Mashhad Source: BBC
3 Reactions
16 Replies
644 Views
Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo...
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
11 Reactions
66 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,485
Posts
49,692,224
Back
Top Bottom