Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Philipo Gekul akichangia makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Utamaduni ,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 ameiomba Wizara hiyo kupeleka...
0 Reactions
8 Replies
181 Views
Habari wanaBodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
7 Reactions
76 Replies
988 Views
Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!.. ujinga wa huyu rafiki...
14 Reactions
53 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Chama kikuu cha upinzani hapa Nchini CHADEMA kinapokea Ruzuku kutoka serikalini ya takribani Millioni 107 kwa mwaka ambayo ni sawa na Billion 1 na Millioni 284 kwa mwaka...
2 Reactions
12 Replies
73 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu...
3 Reactions
17 Replies
189 Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
32 Reactions
176 Replies
5K Views
A
Anonymous
Habari, Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭. Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye...
6 Reactions
26 Replies
658 Views
  • Poll
Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu...
15 Reactions
833 Replies
18K Views
Aaah wakuu naomba kusaidiwa katika hili kama Kuna mtu mwenye uelewa juu ya content yenye faida. Nimesoma prospectus zote lakin nimefeli kuelewa ipi ipo Nondo na ipi ipo unga 🙂 Ndomana nime kuja...
0 Reactions
12 Replies
227 Views
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu. Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa...
9 Reactions
58 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,493
Posts
49,692,376
Back
Top Bottom