Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau hamjamboni nyote? Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania inayonipa uhuru huo Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu...
4 Reactions
59 Replies
448 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
414 Replies
25K Views
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka. Tena kibaya zaidi Rais wa Norway...
16 Reactions
150 Replies
3K Views
USIJIINGIZE KWENYE MAHUSIANO UKIANZA KUONA DALILI HIZI Na Comrade Ally Maftah Changamoto nyingi zinawakumba watu kwenye mahusiano huwa dalili zinakiwa zimeshaonekana mapema tu.na dalili hizo ni...
0 Reactions
1 Replies
6 Views
Siamini eti ni mihemuko ya kihisia ndio inatufanya tu babaike na urembo wa mwanamke maana hata mwanamke mrembo anatamaniwa hadi na mwanamke mwenzake. Tangu hii dunia ianze tumeona jinsi mwanamke...
5 Reactions
6 Replies
187 Views
Haijaelezwa sababu au vigezo vilivyotumika ila inajulikana kwamba zaidi ya 75% ya Watumishi wa Serikali wanapokea Mishahara chini ya Laki 5.Sekta binafsi Hali ni mbaya zaidi. Kwa mazingira haya...
0 Reactions
2 Replies
21 Views
Huu ni ushamba mkubwa. Kwanini usitumie hiyo pesa kupanga nyumba ya ndoto yako? Kwanini usitumie hiyo pesa kukaa mtaa wa ndoto yako? ikiwezekana ukae town centa pale kila sehemu unatembea tu...
1 Reactions
14 Replies
140 Views
Nadhani itakua ni nchi ya kwanza duniani kufanyiwa huu mchezo ndani ya White House. Poleni sana majirani huu mtego mlioingia hamchomoki.
12 Reactions
48 Replies
967 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,856,518
Posts
49,693,217
Back
Top Bottom