Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tumeanza mechi, dakika ya 41 Azam wamepata penalty... Gooooal
0 Reactions
13 Replies
15 Views
Mzuka wanajamvi! Usiku wa kuamkia leo kwenye uzi wa mwamba P didy ikimuonesha akimpiga "gelfrend' wake wa zamani kwenye korido za hoteli ya intercontinental akiwa amevaa taulo. Tulimpinga sana GT...
11 Reactions
40 Replies
718 Views
Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama. Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani...
3 Reactions
21 Replies
411 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
99 Reactions
615 Replies
21K Views
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
15 Reactions
134 Replies
1K Views
Kiufupi Kwa Sasa tumefika mahala ambapo dizi hizi tulizoletewa zimekuwa chambo ya kuwapumbaza watu wenye akili ndogo na kuwafanya mafukara. Mda umefika Sasa zipigwe marufuku Ili watu wajikite...
1 Reactions
16 Replies
246 Views
Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao...
86 Reactions
209 Replies
18K Views
Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua...
2 Reactions
15 Replies
79 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,886
Posts
49,643,835
Back
Top Bottom