Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni...
4 Reactions
63 Replies
655 Views
Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
34 Reactions
96 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza...
6 Reactions
62 Replies
1K Views
Mpendwa msomaji. Kama ulisoma mkasa[emoji116] (Nilivyo Okoa Maisha Ya Watalii toka Finland). Huu ni mkasa kamili wa kisa kile. Nilielezea visa vichache kwa ufupi, lengo lilikuw kuonyesha msaada...
32 Reactions
3K Replies
224K Views
Kuna chawa , kuna kada,kuna mwanaharakati ila politics ni kifo cha mende, au popo kanyea sinia la wali, politics upside down ,mjinga mwerevu,mwerevu mjinga, choicevarible wewe ni nani ??au...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Abadni sitapingana na vitabu vitakatifu ambavyo vinaamini uwepo wetu katika dunia ni wenye lengo la kumuabudu mungu,quran inasema sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa waniabudu. binafsi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani. Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba...
50 Reactions
401 Replies
22K Views
Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia...
9 Reactions
27 Replies
401 Views
Habari zenu wanajukwaa.. Haya ndio makundi ya generations, namna yalivyokuwa grouped katika miaka watu waliyozaliwa, kuanzia mwaka 1901.. Kitu nilichonote ni kwamba wamegroup katika interval ya...
4 Reactions
20 Replies
484 Views
Mbunge wa Tarime Vijijini akichangia hotuba ya wizara ya Maendeleo ya Jamii amesema kama hao wanatupa Misaada ya Kibajeti wanatuwekea Masharti ya Ushoga basi Misaada yao hatuitaki Mwita Waitara...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,849
Posts
49,642,590
Back
Top Bottom