Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nitofautiane na makada wenzangu kwenye swala Zima la desturi kuifanya sheria ndani ya chama! Hatuna Cha kuogopa Wala kupoteza kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea mpya hapo 2025,ninaamini...
0 Reactions
1 Replies
12 Views
Denis Mpagaze ______________ 1. Mungu aliumba mto lakini hakuumba daraja la kuvukia kwenda ng'ambo; 2. Mungu aliumba anga lakini hakuumba ndege ya kutufikisha angani; 3. Mungu aliumba nchi...
4 Reactions
11 Replies
215 Views
Tumeanza mechi, dakika ya 41 Azam wamepata penalty... Gooooal
0 Reactions
5 Replies
15 Views
Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua...
1 Reactions
13 Replies
79 Views
☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️ 1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊 2. Furaha si...
11 Reactions
26 Replies
403 Views
Habarini wadau wa jukwaa la ujenzi na makazi, poleni na harakati za hapa na pale, kikubwa tuombe uzima tufanikishe ndoto zetu na malengo yetu. Habari njema ni kwamba nimekuja na taarifa kua kama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa. Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla...
1 Reactions
7 Replies
218 Views
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
14 Reactions
132 Replies
1K Views
Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu...
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Kimsingi Wabunge wa Viti maalum kazi yao kubwa ni kupiga makofi na kutoa sauti kubwa ya " NDIO" wakati wa kupitisha vifungu na kazi hii inaweza kufanywa kwa Ufanisi na Robot kwa sababu atakuwepo...
4 Reactions
8 Replies
109 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,886
Posts
49,643,835
Back
Top Bottom