Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana...
5 Reactions
38 Replies
250 Views
maisha ya dunian yanaumiza sana lakin hiki si kitu ninachohitaji tukizungumzie ivo tujikite kwenye kichwa cha mada ipi ni njia rahic mtu kujiua kwa jibu la haraka haraka itakuwa ni mbinu za...
1 Reactions
4 Replies
6 Views
Kumekuwa na propaganda zinazoendelea, ambazo zinaongozwa na wanaccm, zinazodai kuwa watanzania wanaolipa kodi, eti ni kama milioni 3, ambazo ni chini ya asilimia 5 ya watanzania wote milioni 60...
6 Reactions
19 Replies
257 Views
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya TAL isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu...
5 Reactions
44 Replies
294 Views
Wakuu habari zenu. Nahitaji ramani Kwa ajili ya Apartment za kupangisha. But kabla ya kupewa ramani nahitaji mhusika afike site ili aone namna ya eneo lilivo. Site ipo Kiabakari - Musoma, ni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hiki kisiwa kikiboreshwa vema kinaweza kuwa mbadala wa Zanzibar japo hakiwezi kuwa kama Zanzibar. Kina fukwe kubwa na nzuri, Kina utalii wa majini Utalii wa mashambani ni muhimu tujivunie na...
6 Reactions
24 Replies
653 Views
Shalom, Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa? Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero...
2 Reactions
6 Replies
54 Views
Wakuu Heshima mbele! Jana nilipokuwa natazama vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma. Mbunge msambantavangu alikuwa akizungumza kuhusu ukatili wa kijinsia, anasema imekuwa ni kawaida kuripoti...
3 Reactions
8 Replies
99 Views
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
25 Reactions
151 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Dah jana mpenzi wangu aliniaga anaenda kuangalia kazi flani coz hii ya sasa mshaara haumtoshi nikamwambia poa.akaenda ilaa nilimpa muda yani mpaka saa saba awe amerudi akasema poa...
15 Reactions
323 Replies
31K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,775
Posts
49,640,739
Back
Top Bottom