Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au...
4 Reactions
32 Replies
404 Views
Nataka kumnunulia mpenzi wangu pedi ila sijajua ipi ni bora zaidi.
3 Reactions
15 Replies
68 Views
Huenda Mlevi wa upande Mmoja akamfuata Rafiki yake Mlevi HATARI wa upande mwingine au ikawa ni kinyume chake.
0 Reactions
11 Replies
136 Views
Baada ya kutawazwa kama mabingwa wa ligi kwa mara 30 nchini Tanzania, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kumenyana na Dodoma Jiji. Ikumbumbwe katika mchezo wa...
6 Reactions
31 Replies
301 Views
Habari natafuta marafiki wakubadirishana mawazo especially wanachuo lengo nikubadirishana mawazo
4 Reactions
25 Replies
110 Views
Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka. Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya...
2 Reactions
34 Replies
526 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
354 Replies
22K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo ana miaka 90 sasa Ngina Muhoho almaarufu Mama Ngina ni mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya Hayati Jommo Kenyatta & Mama wa Rais wa tatu wa nchi hiyo Uhuru...
1 Reactions
7 Replies
215 Views
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse. Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
24 Reactions
78 Replies
1K Views
Wadau humu naombeni muongozo najua kuna watu humu walishawahi fika zanzibar kula bata. Sasa nataka niende by ijumaa niende kuhudhuria ile fullmoon party,je vitu gani nitarajie?
5 Reactions
58 Replies
941 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,041
Posts
49,680,009
Back
Top Bottom