Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
4 Reactions
101 Replies
1K Views
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta. Sasa kafariki...
1 Reactions
10 Replies
11 Views
Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka. Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya...
2 Reactions
40 Replies
910 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni LHRC...
10 Reactions
124 Replies
3K Views
Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili...
0 Reactions
9 Replies
158 Views
Wakuu nahitaji Kujua Kama kuna namna ya kuset ili Kujua mtu aliyejaribu kukupigia wakati haupo hewani kwenye mtandao wa tigo
0 Reactions
2 Replies
74 Views
Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes...
2 Reactions
13 Replies
178 Views
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
12 Reactions
272 Replies
13K Views
Jamani kwema humu ndani? Leo nimeona niliongelee Bunge letu pamoja na madudu yake. Yaani Bunge la kipindi hiki ni bunge la ajabu kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu. Wabunge badala ya...
4 Reactions
7 Replies
50 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,130
Posts
49,682,627
Back
Top Bottom