Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Watu Wenye busara huyaangalia madhara ya matokeo na kuyakinga. Wakati mnapanga fainali ya CRDB federation cup kufanyika Manyara wiki mbili zilizopita ni Wazi hamkuzingatia madhara ya matokeo ya...
4 Reactions
14 Replies
516 Views
Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu...
4 Reactions
48 Replies
601 Views
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii. Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
15 Reactions
115 Replies
2K Views
Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Hello! Amani ya Mungu iwe nanyi. Ukiona binti anavaa nguo za kiume, anacheza michezo ya kiume, anaongea kiume, anacheza na wanaume haswa huyo ana pepo mchafu. Huyo pepo mchafu kadri siku...
3 Reactions
13 Replies
74 Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
11 Reactions
189 Replies
2K Views
Malalamiko ya awali- Mfumo wa Ajira wa Jeshi la Polisi unasumbua, shida si mtandao ni mfumo wao wenyewe. Waweke njia mbadala ya kutuma maombi
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wanajukwaa Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi. Naombeni mnisaidie...
3 Reactions
3 Replies
91 Views
A
Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa. Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi...
0 Reactions
4 Replies
66 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,881
Posts
49,675,711
Back
Top Bottom