Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baada ya kutawazwa kama mabingwa wa ligi kwa mara 30 nchini Tanzania, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kumenyana na Dodoma Jiji. Ikumbumbwe katika mchezo wa...
6 Reactions
45 Replies
301 Views
Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani. Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa...
2 Reactions
18 Replies
263 Views
Wadau hamjamboni nyote? Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania. Mama huyu...
0 Reactions
35 Replies
131 Views
Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au...
5 Reactions
34 Replies
404 Views
Mh. Ahadi zako haziwezi kusahaulika kamwe za kupandisha watumishi MADARAJA yao na kwa mserereko kwani ulitoa maelekezo mchana kweupe kwamba kazi inafanyika haraka sana asiachwe mtumishi yeyote...
0 Reactions
2 Replies
36 Views
Hii inachekesha kidogo 😂😂😂 Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu. 1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana...
9 Reactions
142 Replies
1K Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
356 Replies
22K Views
Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika. Chukulia umeteuliwa...
1 Reactions
2 Replies
32 Views
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse. Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
26 Reactions
82 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo ana miaka 90 sasa Ngina Muhoho almaarufu Mama Ngina ni mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya Hayati Jommo Kenyatta & Mama wa Rais wa nne wa nchi hiyo Uhuru...
1 Reactions
10 Replies
215 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,044
Posts
49,680,105
Back
Top Bottom