Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
My Take Naunga mkono Mtaka Kwa kuwashangaa hao wavivu na walaghai na ndio wanaolalamikiwa Kwa kutoa Huduma mbovu huko maofisini...
2 Reactions
19 Replies
98 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Liza Anasema alifanya makosa kingine utoto Tu anasema nilikua mwanaume sahihi kwake mi sijui....... Usikite mbele nami ningekua kivuruge Anasema nimsamehe Sana akili za kitoto Tu zile maisha...
4 Reactions
21 Replies
375 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi...
1 Reactions
3 Replies
8 Views
Habari Wakuu? Nategemea kwenda Miono. Ila sijui usafiri wake kwa jiji la Dar unapatikana wapi? Na nauli ni kiasi gani? Ahsante sana kwa msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
66 Views
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa...
30 Reactions
535 Replies
38K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,782
Posts
49,640,973
Back
Top Bottom