Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex.
Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja.
Mechi hii itapigwa...
Kosa langu nini ni Vannesa?
Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa?
Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
Tutafute jina letu wenyewe ambalo litasadifu utaifa wetu. Na hata majukumu ya ofisi yake yasiwe yawe ya kiuongozi tu (yasiwe ya kidini).
Kama taifa muda umefika tuwe na mtu ambaye anaweza...
Salaam wana JF, kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hz kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia cz life huku...
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
Kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya...
Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake.
Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan alikuja na mpango kabambe na uliokonga na kugusa mioyo ya mamilioni ya...
Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.