Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Natoa tahadhari huyu member ni muongo sana na mpotoshaji sana Mfano kuna thread zake mbili ukizifuatilia utaona ni muongo sana na sijui anapata faida gani Ya kwanza anasema yeye ni kijana mdogo...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho...
3 Reactions
31 Replies
236 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
1 Reactions
136 Replies
8K Views
Habari JF, Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania...
27 Reactions
166 Replies
10K Views
1. Dk. Ben Carson alisema, "Nilitatizika kimasomo katika shule yote ya msingi lakini nikawa daktari bingwa wa upasuaji wa neva duniani mwaka wa 1987." SOMO: Kupambana ni ishara kwamba uko kwenye...
7 Reactions
16 Replies
123 Views
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
7 Reactions
67 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Natengeneza furniture material block board /melamine board Nakaribsha mbia
0 Reactions
7 Replies
162 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,518
Posts
49,633,635
Back
Top Bottom