Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Watu wanaweka contents za Maana sana lakini mnakwenda kuunga kwenye uzi ambao hauendani kabisa kisa ni tukio moja au mtu aliyetaja TAFSIRI YETU NI KWAMBA MNATUKA KUFICHA BAADHI YA MAMBO...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huyu ni msichana ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili Pamoja na changamoto za hapa na pale za kimahusiano lakini tulijitahidi kuwa pamoja kwa kipindi chote hicho. Kuna...
2 Reactions
3 Replies
49 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC 📆 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid 🕖 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5...
7 Reactions
260 Replies
3K Views
Hellow habari 🤗 natafuta boyfriend atakae kua mume baadae nina watoto watatu
9 Reactions
92 Replies
552 Views
Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
9 Reactions
77 Replies
726 Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
2 Reactions
32 Replies
572 Views
Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories. Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na...
7 Reactions
41 Replies
472 Views
Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu. Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na...
12 Reactions
42 Replies
411 Views
Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na...
4 Reactions
25 Replies
484 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,184
Posts
49,653,227
Back
Top Bottom